kaswida za kiswahili

kaswida za kiswahili

Sikiliza bila Internet
Kaswida mpya kila siku
Hakuna kulipia

Kwanini uchague App hii

App bora ya kaswida za kiswahili Tanzania!

Ni App pekee ya kaswida Tanzania

Hii ndio App pekee inayokuwezesha kusikiliza kaswida za kiswahili Tanzania.

Kaswida zenye imani

Ikiwa unahitaji kuboresha imani yako, basi app hii inakusogezea kaswida nzuri zenye kukujenga kiimani

Haina malipo

App hii ni bure kabisa, hautalipia kiasi chochote kwa kipindi chote

Reviews about kaswida za kiswahili

Discover our users' feelings and comments.
Nasikiliza Qaswida kila siku kupitia App hii, naipenda zaidi sababu haina malipo.
Aisha Mudathir
Aisha Mudathir
Apr 19, 2025
Mashallah ni App nzuri na ni rahisi kuitumia. Allah awajaalie
Hawa Abdallah
Hawa Abdallah
Apr 8, 2025
Nimeipenda, ina speed nzuri sana! Kaswida zina sikika vizuri na pia ni rahisi kutumia
Ramadhani Issa
Ramadhani Issa
Mar 25, 2025

Wasiliana nasi kupitia email:

Maswali ya mara kwa mara

Una swali lolote? tafadhali pia majibu haya kabla ya kuwasiliana nasi.

Nimeshindwa kuinstall app, nifanyeje?

App hii haipo Playstore, hivyo unatikiwa kuinstall manually. Inaweza kukuletea Onyo kuwa App si salama. Puuza onyo hilo kwani hutokea unapo install app yoyote nje ya playstore

Naweza kusikiliza kaswida bila internet?

Ndio, unatakiwa kuwa na internet unaposikiliza kaswida kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo utaweza kusikiliza bila Internet

App hii ni bure?

Ndio ni bure kabisa,

Start your free trial for kaswida za kiswahili today!

Enjoy your everyday with kaswida za kiswahili.
Let's keep in touch!
Subscribe to our newsletter for the latest news and updates.
By subscribing, you agree to kaswida za kiswahili Privacy Policy.